Unconditionally Bae - Sauti Sol, Alikiba

Unconditionally Bae - Sauti Sol, Alikiba

Год
2016
Язык
`Swahili`
Длительность
220480

Hieronder staat de songtekst van het nummer Unconditionally Bae , artiest - Sauti Sol, Alikiba met vertaling

Tekst van het liedje " Unconditionally Bae "

Originele tekst met vertaling

Unconditionally Bae

Sauti Sol, Alikiba

We all need love

We all need affection

And the way that you’re looking at me

I can feel a connection

Unanibamba baby, kwanza unavyochekecha

Kinywaji kwa mkono, na kibeti kwa bega

Juu sikuizi madem wanapenda doh

Na machali pia tunazo drama

Ya dunia ni mengi sana, no commitiment mama

So nipe nafasi

Nikupe mapenzi yangu ya kiluhya

Hallelujah

We all need love

Nakupenda

Tena nina imani sana

Ushanitega, ushanitega

We all need someone

Nakupenda

Tena nina imani sana

Ushanitega, ushanitega

So make love to me

Unconditionally bae, unconditionally bae

Make love to me

Unconditionally bae, unconditionally bae

We all need love

Me I need a wife, wa kuishi na yeye

Fuata vijana utakufa mapema magonjwa yamejaa

Jina langu Ali, sasa lazima nilee

Nikikosa kula, nawe ndo chakula, nitakonda mazima

And I belie-eeeve, nitakuwa nawewe

Mwanzo mpaka mwisho

And I belie-eeeve, baibe

We all need love

Nakupenda

Tena nina imani sana

Ushanitega, ushanitega

We all need someone

Nakupenda

Tena nina imani sana

Ushanitega, ushanitega

So make love to me

Unconditionally bae, unconditionally bae

Make love to me

Unconditionally bae, unconditionally bae

We all need love

Nakupenda

Tena nina imani sana

Ushanitega, ushanitega

We all need someone

Nakupenda

Tena nina imani sana

Ushanitega, ushanitega

So make love to me

Unconditionally bae, unconditionally bae

Make love to me

Unconditionally bae, unconditionally bae

Ali

(Bumaye)

Sauti Sol

(Bumaye)

East Africa

(Bumaye)

Tanzania Kenya

(Bumaye)

Kigali

(Bumaye)

Bujumbura

(Bumaye)

Kampala

(Bumaye)

Kinsasha

Bumaye

Bumaye

Bumaye

Bumaye

Bumaye

Bumaye

Meer dan 2 miljoen songteksten

Liedjes in verschillende talen

Vertalingen

Hoogwaardige vertalingen in alle talen

Snel zoeken

Vind binnen enkele seconden de teksten die je nodig hebt