Pamela - Diamond Platnumz, Young Killer

Pamela - Diamond Platnumz, Young Killer

Альбом
A Boy From Tandale
Год
2018
Язык
`Swahili`
Длительность
233740

Hieronder staat de songtekst van het nummer Pamela , artiest - Diamond Platnumz, Young Killer met vertaling

Tekst van het liedje " Pamela "

Originele tekst met vertaling

Pamela

Diamond Platnumz, Young Killer

Kwanza kako sexy

Pamela!

Kiuno kama kazaliwa Congo

Ebu ni ka date

Pamela!

Mikogo kama samaki kamongo

Chumbani ni karate

Pamela!

Vurugu kama show za Manfongo

Navopenda deki

Pamela!

Ulimi shingoni mpaka kwa mgongo

Eeeh!

Katoto katamu tamu

Kanapenda pipi na chewing gum (Anhaa!)

Kimoko nacum cum

Kitanda kwichikwichi

Ni Bum Bum (Anhaa!)

Eeh!

Oh najua maana ya penzi burudani

Na ndio maana nakupa kokote

Singoji mpaka kitandani

Aaaah yeah!

Pamela!

Oooh! Oh! Oh!

Pamela!

She is hotter than fire

Pamela!

Ukimuona utagwaya

Pamela

Zigo lazima ntafire

Pamela!

Na kapenda ile mbaya

Pamela!

Aiiiy!

Eeh my heart ooh!

She de skata my heart ooh!

Pamela!

Eeh my heart ooh!

Kanaumiza my heart ooh!

Eeh my heart ooh!

She de skata my heart ooh!

Pamela!

Eeh my heart ooh!

Kanaumiza my heart ooh!

Nilikutana nako Mbagala

Kwa kina Lufufu Mkandala

Mtoto mwali kidandala

Mtamu kwa nguna na sangala

Ooooh naa!

Anavyopose mchokozi

Nikiwa namwaga dose

Napocheza na ngozi

Hunikosi

Pamela!

Mpaka majonzi kwa njozi

Utamu kwa utosi

Sinaga ubitozi

Ni konzi

Pamela!

Oh najua maana ya penzi burudani (Ooh! oh!)

Na ndio maana nakupa kokote

Singoji mpaka kitandani

Eeeeh yeah!

Pamela!(Pamelaa)

Oooh! Oh! Oh!

Pamela

She is hotter than fire

Pamela

Ukimuona utagwaya

Pamela

Zigo lazima ntafire

Pamela

Ooh nakapenda ile mbaya

Pamela

Huh!

Mwenye mdomo wa kulamba koni

Napozi za picha

Na moyoni nimekuficha

Picha ya mapicha picha

Wazushi wanayonipa nipa

Hayaumizi kichwa kichwa

Wala kunitisha

Usije nikatisha mood (Mood)

Kwa kufanya kusudi (Kusudi)

Ukaanza tena usiku na mchana

Ma nenda rudi (Rudi mama)

Kifuani sita

Tumbo hauna

Na ukikatika

Ndio kabisa Naumwa (Heheheh)

Njoo tucheze kibaku baku

Pamela!

Tuwakomeshe manyaku nyaku

Pamela!

Ukate taratibu yani nyatu nyatu

Pamela!

Kitandani unimeze ile kichatu chatu

Sikufichi

Namiss kumuchezo kako kila mara

Na ndio maana

Huwa napita pekupeku

Bila Ndala

Show ndefu kwa body

Nang’ala Ng’ala

Navuruga shape

Mwisho unabaki unagalagala

Msodoki!!!

Eeeh Eh!

Pamelaaaa!

Oooh oh!

Pamela!

She is hotter than fire

Pamela!

Ukimuona utagwaya

Pamela!

Zigo lazima ntafire

Pamela!

Na kapenda ile mbaya

Pamela!

Nakupenda sana

Eeeh!

Eeeh!

Meer dan 2 miljoen songteksten

Liedjes in verschillende talen

Vertalingen

Hoogwaardige vertalingen in alle talen

Snel zoeken

Vind binnen enkele seconden de teksten die je nodig hebt