Utanipenda - Diamond Platnumz

Utanipenda - Diamond Platnumz

Год
2017
Язык
`Swahili`
Длительность
241890

Hieronder staat de songtekst van het nummer Utanipenda , artiest - Diamond Platnumz met vertaling

Tekst van het liedje " Utanipenda "

Originele tekst met vertaling

Utanipenda

Diamond Platnumz

Tanta lala laaa

Ooh La la la la laaaa

Mmmmh

Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale

Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale

Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree

Umeneja umebaki jina

Hanitaki hata Tale

Oooh wale shabiki zangu

Walionisifu kwa maneno matamu

Leo maadui zangu

Ni mitusi tu kwa instagram

Kimwanaa si dada angu

Eti nae hanifahamu

Hata Harmonize nikimpigia

Ananifokea kama Sallam

Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa

Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa

Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa

Kama naiona michambo ya madem wa zamani nlio wapitiaga

Ooh nayosema yana maana

Sababu hakuna anaejua kesho

Anaepanga ni Rabana

Ila ameificha ni confidential

Ukisali omba sanaa

Mumeo nisije kuwa kichekesho

Maana rafiki wa jana

Aaah

Ndio adui mkubwa wa kesho

La la la la la laaaaa

Au je utanipenda gaa?

La la la la laaa

Au nawe utanimwagaa?

La la la la laaaa

Ati utanipenda gaa ooh

Ooooh

Ooooooooh.

Bado naiwaza sana

Zile tunzo mashauzi airport

Je itapofika tamati

Utadiriki hata japo kunipost

Pindi show zimekwamaa

Na nikipata sijahis ni mikosi

Oooh jahazi limezama

Mola ninusulu baba

Kama namuona mwanangu

Roho yangu

Tiffa Dangote

Anakwenda na mamaangu

Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke

Usilie Sandra wangu

Mboni yangu

Jikaze usichoke

Huenda kesho zamu yangu

Nitavuma tena mambo yanyooke

Eeeey

Na magazeti ya nyumbani

Kwa kukuza habari si unajuagaa

Utasikia tafalani eti Mondi kwa Zari amemwaga

Oh yeh yeh yeh

Navyo nilivyo mnyonge

Tabia ya kuwajibu sinaga

Kama naiona michambo ya madem wa zamani

Yani He he heeeeee

La la la la laaaaaa (eeeh)

(Ola lala la laaaalaa)

La la la la laaa

(Ooh ola la la laaaa)

La la la la la alaaaa

Eeeh

Ola la la lilaa ooh

I say.

Kama namuona mwanangu

Roho yangu

Tiffa dangote

Ana kwenda na mama angu

Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke

Usilie sandra wangu

Mboni yangu

Jikaze usichoke

Huenda kesho zamu yangu

Nitavuma tena

Mambo yanyooke (he he heee)

Eiiii

Ola lala lilaa

Oooh baby

Tudd Thomas

Oooooh

Nayosema yana maana

Sababu hakuna anaejua kesho

Anaepanga ni Rabana

Ila ameificha ni confidential

Ukisali omba sana

Mumeo nisije kuwa kichekesho

Maana rafiki wa jana

Ndio adui mkubwa wa kesho

WASAFIIII.

Meer dan 2 miljoen songteksten

Liedjes in verschillende talen

Vertalingen

Hoogwaardige vertalingen in alle talen

Snel zoeken

Vind binnen enkele seconden de teksten die je nodig hebt