I Miss You - Diamond Platnumz

I Miss You - Diamond Platnumz

Год
2017
Язык
`Swahili`
Длительность
238570

Hieronder staat de songtekst van het nummer I Miss You , artiest - Diamond Platnumz met vertaling

Tekst van het liedje " I Miss You "

Originele tekst met vertaling

I Miss You

Diamond Platnumz

Hello, hapo vipi sijui unanisikia

Hello, na maneno natamani kukwambia

Hello, tafadhali usije nikatia

Hello ooh, ona mpaka nasahau kusalimia

Habari gani? Leo nimekukumbuka sana

Na mama yaani, twakuwazaga

Vipi nyumbani, hali ya mumeo na wana?

Na aunty Shani, wa Chimwaga

Anha Kile kidonda changu cha roho

Bado kinanitia tabu

Najitahidi kukaza roho

Ila nazidisha adhabu

Tena silali oh

Nasubiri maajabu

Maumivu yangu hayajapata dawa

Maana I miss you (nakukumbuka iye iye) nakukumbuka baby

I miss you (nakukumbuka iye iye)

I do miss you (nakukumbuka iye iye) nakukumbuka mama

I miss you (nakukumbuka iye iye)

Ooh na roho yangu mama (bigili bigili)

Ah nikikuwaza (bigili bigili)

Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo)

Oh nikilala (bigili bigili)

Inama inuka woh (bigili bigili)

Nami sina raha (Bigili bigili bayoyo)

Tatizo hata sijui nini kosa langu

Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga

Nawaza ila siambui ama shida zangu uuu.

Simba nikawa chui mi roho inaniumaga

Yawezekana ahadi zangu zisizotimia

Ndio maana haukutaka kusubiria

Nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia

Chai mchana usiku dona kurumaghia

Nilitamani sana ila nguvu yangu pale iliishia

Ningalikua na uwezo ningekutimizia

Ningali unafuraha haya maumivu ntayavumilia

Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh eeh

Nakumkumbuka iyeh iyeh (nakumkumbuka sana ooh)

I miss you (nakukumbuka iye iye)

Nakumkumbuka sana ooh

I miss you (nakukumbuka iye iye)

I miss you (nakukumbuka iye iye)

I miss you (nakukumbuka iye iye)

Ooh na roho yangu mama (bigili bigili)

Ah nikikuwaza (bigili bigili)

Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo)

Oh nikilala (bigili bigili)

Inama inuka woh (bigili bigili)

Nami sina raha (Bigili bigili bayoyo)

Hata nikila (bigili bigili)

Nikikuwaza (bigili bigili)

Nikiiii nana

(Bigili bigili bayoyo)

Ooh na roho yangu mama (bigili bigili)

Ah nikikuwaza (bigili bigili)

Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo)

Tudd Thomas

Eeeeeh eeh roho yangu mama (Bigili bigili)

Eeeeh hee hee (Bigili bigili)

Eeeeh hee hee (Bigili bigili bayoyo)

Oooh roho yangu mama (Bigili bigili)

Inama inuka woh (bigili bigili)

Na Chibu sina raha (Bigili bigili bayoyo) oh

Hata Nikila

Meer dan 2 miljoen songteksten

Liedjes in verschillende talen

Vertalingen

Hoogwaardige vertalingen in alle talen

Snel zoeken

Vind binnen enkele seconden de teksten die je nodig hebt