Nalia Na Mengi - Diamond Platnumz, Chidi Benz

Nalia Na Mengi - Diamond Platnumz, Chidi Benz

Год
2013
Язык
`Swahili`
Длительность
269070

Hieronder staat de songtekst van het nummer Nalia Na Mengi , artiest - Diamond Platnumz, Chidi Benz met vertaling

Tekst van het liedje " Nalia Na Mengi "

Originele tekst met vertaling

Nalia Na Mengi

Diamond Platnumz, Chidi Benz

Mi niliambiwa mapenzi ni kama bahari

Ukishazama ndo basi umepotea

Kumbe mwenzangu alikuwa anatamani

Badala ya kuzama mi kwangu akaelea

Akawa ananidanganya

Nikiwa nadhani ananipenda sana

Mikwanja nikamwaga mama

Japo sio kivile la kuongea maana

Akawa ananidanganya

Nikiwa nadhani ananipenda sana

Mbona mifedha nikamwaga mama

Japo sio kivile ila hakuongea maana

Wakaja wajinga wakamchukua

Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua

Wajinga wakamchukua

Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua, ayayaya…

Usinione nalia (rrah)

Usinione nalia (rrah)

Mwenzenu nalia na mengi

Usinione nalia (rrah)

Naila… (rrah)

Sababu ya mapenzi

Usinione nalia (rrah)

Nalia… (rrah)

Nalia na mengi

Ooh, jamani nalia (rrah)

Nalia… (rrah)

Sababu ya mapenzi

Najua alimaanisha kuwa simfai

Ila lakini angesema

Kuliko alichofanya mi akantoa nishai

Akanimeza akanitema

Nyie mapenzi yanauma vibaya

Vibaya, vibaya

Mmmh, mapenzi yanauma vibaya

Vibaya, vibaya…

Ile gafra safari

Ndio inanifanya na usingizi sipati

Huwa nakumbuka mbali

Hasa nikisikia harufu yake ya marashi

Mi kwa chungu nilivyoumia

Nikaandika hili song la mwondoko nalia

Na voko nikaingiza kwa hisia na imani

Ipo siku nyimbo itamfika

Mi kwa uchungu nilivyoumia mie

Nikaandika song la mwondoko nalia

Na voko nikaingiza kwa hisia na imani

Ipo siku nyimbo itamfikia, ayayaya…

Usinione nalia (rrah)

Usinione nalia (rrah)

Mwenzenu nalia na mengi

Usinione nalia (rrah)

Naila… (rrah)

Sababu ya mapenzi

Usinione nalia (rrah)

Nalia… (rrah)

Nalia na mengi (ye, yeah)

Ooh, jamani nalia (ye, ye)

Nalia… (rrah)

Sababu ya mapenzi

Usinione nakosa raha mama na lala ma kwako mara kadhaa

We ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa

Sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa

Na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa

Nwenu wezi wakung’ang’anie ninung’unike nilie

Nija yetu mmoja niache nipite si ukasimulie

Mama ya kinyamwezi na swaga zako juu

Na miguu napata picha kitandani kungfu

Uko juu ukipita lazima wasome namba

We ndo mfano hata unajua neno pamba sifaa

Kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba

Mikogo kila leo ntajigamba

Nusonge kisela piga teke inauma

Usiombe mapenzi yakupige teke inauma

Usiombe mapenzi yakupige teke, eh

Bounce

Usinione nalia (rrah)

Usinione nalia (rrah)

Mwenzenu nalia na mengi

Usinione nalia (rrah)

Naila… (rrah)

Sababu ya mapenzi

Usinione nalia (rrah)

Nalia… (rrah)

Nalia na mengi

Ooh, jamani nalia (rrah)

Nalia… (rrah)

Sababu ya mapenzi

Ah ah ah ah ah ah ah

Ah

Ah

Oh oh oh oh oh oh oh

Oh

Oh

Ah ah ah ah ah ah ah

Ah

Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah

Ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji

Meer dan 2 miljoen songteksten

Liedjes in verschillende talen

Vertalingen

Hoogwaardige vertalingen in alle talen

Snel zoeken

Vind binnen enkele seconden de teksten die je nodig hebt